
Mfumo wa Ufuatiliaji na Udhibiti wa Kiwanda (SCADA / HMI / PLC)
Angalia hali ya mashine na process kwenye skrini moja: alarm, hitilafu, joto, pressure, level, production na hali muhimu za uendeshaji.
- Muonekano wa kiwanda kwa sehemu moja
- Alarm na historia ya matukio
- Trends, reports na dashboards
- Ufuatiliaji wa mbali
- Viwanda na process plants
- Maji na majitaka
- Migodi na processing
- Utilities na pump stations





