ARF Services inalenga kuwa rasilimali ya kiufundi ya ndani kwa wateja wanaohitaji msaada wa drives, ufuatiliaji, automation na taarifa za kiwanda.
Kukagua hitaji la machine, plant au process na tatizo linalotakiwa kutatuliwa.
Kukusanya process scope, I/O list, P&ID na functionality inayohitajika.
Kujadili architecture inayofaa kwa application na project requirement.
Motor data, ACC/DEC, testing, parameters na fault diagnosis.
Kusaidia kufafanua nini kitaonekana, kudhibitiwa, ku-alarm na kuripotiwa.
Project follow-up, first-line support na technical escalation inapohitajika.
Tracker installation, platform setup na first-line support kwa vehicle na fleet tracking.